Kuhusu Real People

Real People ni kampuni inayohusika na kuwapa wanabiashara suluhisho za fedha. Kampuni hii inajihusisha haswa na wanabiashara wadogo nchini Tanzania, Kenya, Uganda na Afrika kusini.

Real People ilianza operesheni nchini Kenya mwaka wa 2006 na imepanua operesheni zake hadi nchi ya Tanzania na Uganda. Kutoka afisi zake kuu nchini Kenya, Real People ina matawi 17 nchini Kenya, 2 Tanzania na 3 Uganda.

Real People katika Afrika mashariki inajihusisha na uwajibikaji wa kifedha kwa wanabiashara kupitia mikopo zetu za kuboresha biashara yako na ile ya kuendeleza biashara.

Usimamizi na Umiliki

Real People ni kampuni iliyo andikishwa na serikali ya Tanzania chini ya usimamizi wa sheria za makampuni. Waelekezi wa Real People katika Afrika mashariki ni Neil Grobbelaar, Daniel Ohonde, Yvonne Godo, Norman Ambunya, Nthenya Mule, Charles Cocks na Arthur Arnold. Real People inajiunga na hali ya juu ya uelekezi wa makampuni na imeteua kampuni ya PKF kama wakaguzi wa kuhakikisha uelekezi ni wa hali ya juu.

Responsible finance. Sustainable futures.